Michezo

Beckham kanileta Marekani – Henry

Thierry Henry amesema kiungo wa England David Beckham ndio amemsababisha kjiunga na New York Red Bulls ya Marekani.

Mshambuliaji huyo wa zamani wa Arsenal atacheza mchezo wake wa kwanza dhidi ya mahasimu Tottenham Hotspurs kesho ikiwa ni game ya kwanza toka aondoke Barcelona.

 

Alisema nilimuuliza Beckham kuhusu kujiunga kwangu na timu hii,na hakunijibu jambo lolote baya alinipa support na ushauri. Nina muheshimu Becks ni mtu mzuri sana kwangu amekua akinivutia sana kwa soka lake akiwa uwanjani.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents