Habari

Beef: Bamboo na Octopizzo wararuana twitter! Bamboo amwambia Octopizzo aende UK akajifunze kizungu, na Octopizzo amjibu arudi States akafungue duka la ‘mandondo’!!

Rapper mwenye mafanikio na aliyetokea kushine hivi karibuni nchini Kenya Octopizzo amejibishana na msanii mkongwe wa hip hop nchini humo Bamboo kupitia mtandao wa kijamii wa twitter.

Octo & Bamboo

Tweet ya Bamboo ndio iliyoanzisha drama yote hii ambayo ilifanya wote wawili kujibishana kwa maneno ya kejeli as you know katika beef kila mtu huwa anachochea kuni kwa maneno ya kumkera mwenzie,

Hizi ndio tweet za bamboo
bamboo tweet

@OCTOPIZZO trust me, you don’t want it with Kaligraph, he’ll Finnish you quick. Plus you can’t really speak English so you’re halfway down!

@OCTOPIZZO I’m everywhere, you ain’t never there, nigga why would I ever care. @AbbasDoobeez finnished you long ago. Battle Kaligraph…lol

@OCTOPIZZO @drafted_reece itabidii wingine waende London kufundishwa kizungu..lol,but you can’t afford the airfare..buy a car b4 u diss me!

Hizi ndio tweet za Octopizzo

@OCTOPIZZO: Na states nikienda ni kuPerfom si Kuuza ma burger Macdonalds 39yz old n u stil searchin4 cheap publicity hatin on new artists”

@OCTOPIZZO: I made more hit Songz in 3months than he made in his whole Music life.check the cataloges!I feed the community,uezi jilisha”

@OCTOPIZZO: arudi steto akafungue shop ya madondo hu hadi macdobalds alichujua…asifanye nimXpose nimpatie hiyo publicity anataka

Hii si mara ya kwanza kwa rappers hao Bamboo na Octopizzo kuwa na beef ya twitter, kabla ya beef hii mara ya mwisho walijibishana tena mwaka jana (2012) na pia Octopizzo amewahi kuwa na beef na msanii mwingine Abbas wa kundi analotoka Bamboo yaani K-South.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents