Burudani

Beef la Drake and Luda

drake_and_luda

Katika habari za kushangaza katika ulimwengu wa Hip hop,ni kwmba kwa hivi sasa Drizzy Drake na CEO wa disturbing the peace entertainment wamengia kwa bifu zito

Issue hii imetokea baada ya msanii Ludacris ambaye alikua Bongo juzi kati kwa ajili ya Fiesta kuachilia mix tape yenye wimbo uendao kwa jina la “Badaboom” kuwabeza wasanii Drake na Big Sean kwamba they are Fake N#@g@s ingawa ni mayoungsta kwenye game. Diss hii ilikuja baada ya Drake kumponda Luda na flow yake kwenye single ya “My chic Bad”

Drizzy, ingawa alikua kimya kwenye issue hii kwa muda mrefu, jana aliunguka kwenye ukurasa wake wa Twitter na kusema,

“I wish they wuld let us Young Ni@#as live!”

Wadau wa Hip Hop hawajaonekana kupendezwa na hili beef linalokorogwa lakini muhimu ni these guys to BURY DA BEEF!

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents