Beenie Man Naye Yumo!

Beenie Man Naye Yumo!
Kuna gumzo kwamba msanii wa miondoko ya Dancehall ambaye yupo juu ile mbaya yupo mbioni kutua nchini Tanzania

Habari zilizotufikia hivi sasa ni kwamba kampuni ya Entertainement Masters imeamua kumleta Beenie Man kwa ajili ya onesho hapa bongo katika siku za karibuni.

Hatujajua ni lini na wapi litafanyika lakini habari kamili zikipatikana tuawaletea hapa hapa bongo5.com

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents