Burudani ya Michezo Live

Behind the scenes: Utengenezaji wa show za Mkasi, Kingwendu na Bi. Chau

Kingwendu

Andaa mbavu zako tu sababu siku si nyingi zitauma kwa kicheko pale kwenye runinga yako utakapowashuhudia waigizaji wakongwe Kingwendu na Bi Chau katika show zao za Mkasi zinazojitegemea.Kupitia Instagram, waandaji wa kipindi hicho wameshare picha hizi za wakati wakishoot interview za wasanii hao wakongwe.

Josh na Salama
Josh na Salama
Crew ya Mkasi
Crew ya Mkasi
Crew
Crew
Salama na Kingwendu kwenye set
Salama na Kingwendu kwenye set

Bi Chau 3

Bi Chau
Bi Chau

Bi Chau

Kingwendu
Kingwendu

Kingwendu 3

Bi Chau akiwa na crew ya Mkasi
Bi Chau akiwa na crew ya Mkasi

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW