Aisee DSTV!

Beka Flavour adai bifu la Aslay na Mbosso mitandaoni ni mzigo kwake ‘Mimi ni kaka yao, ila siwezi kuwapigia simu’ (+Video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Beka Flavour amesema kuwa ameshtushwa na kushangazwa na mtafaruku uliopo kati ya Mbosso na Aslay unaoendelea mitandaoni.

Beka akiongea na Bongo5, amesema kuwa alimuona Mbosso kwenye interview moja akimtuhumu Aslay kuwa amemu-unfollow na hana sapoti ya kutosha kwake ingawaje yeye amekuwa akimuoneshea upendo kwa kusapoti kazi zake jambo ambalo limemfanya na yeye amfutilie mbali kwenye mtandao wa Instagram.

Beka Flavour amesema yeye nin kaka yao na kipindi cha nyuma alikuwa anawashauri lakini kwa sasa hawezi kufanya hivyo kwa sababu kila mtu yupo na menejimenti yake.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW