Burudani

Beka Flavour afunguka baada ya wimbo wake ‘Sikinai’ kukopiwa nchini Rwanda ‘wamejitetea sana japokuwa nimefurahi’ (+video)

Msanii wa muziki wa Bongo Flavour, Beka Flavour amezungumza na Bongo5 kuhusu wimbo wake wa Sikinai kukopiwa na kundi maarufu nchini Rwanda la Dream Boyz.

Beka amesema kuwa baada ya wimbo huo kusambaa kundi hilo na uongozi wao wamempigia kumuomba radhi na kutaka wayamalize kimya kimya.

SOMA ZAIDI-Kundi la Dream Boyz kutoka Rwanda lashambuliwa mitandaoni kwa ku-copy & paste wimbo ‘sikinai’ wa Beka Flavour

Related Articles

3 Comments

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents