Michezo

Beki wa Real Madrid kuikosa michuano ya Euro

Beki wa timu ya taifa ya Ufaransa Raphael Varane ametemwa katika kikosi cha timu ya taifa ya nchi hiyo.Varane hajaitwa kwenye kikosi kitachoshiriki michuano ijayo ya Euro itayoanza mwezi June kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya nyama za paja.

3486D18900000578-0-image-a-1_1464122950445

Varane Pia ataukosa mchezo wa fainali ya kombe la klabu bingwa ulaya utapigwa Mei 28 kati ya timu yake ya Real Madrid na Atletico Madrid.

Mchezaji huyu atakua nje ya uwanja kwa muda wa wiki tatu mpaka nne na nafasi yake kwenye kikosi cha taifa imechukuliwa na beki wa Adil Rami, mwenye umri wa miaka 30 anayeichezea timu ya Sevilla ya nchini Hispania.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents