Aisee DSTV!

Ben Pol aachia video ya wimbo wake mpya, afungukia mahusiano “Sikutaka tugombane, mapenzi yapo” (+Video)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini alimaarufu BongoFleva, Ben Pol ameachia video ya wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la Wapo. Ben Pol siku za hivi karibuni ameoneka kuzama katika penzi zito la mwanadada bossladay wa Kenya, Anerlisa ambaye ni mpenzi wake na tayari ameshamvisha pete.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW