Awards
Ben Pol anaomba kura zenu Kili Awards 2012 [Video & Song]
[youtube]http://www.youtube.com/watch?v=zrMw4vx46-A[/youtube]
Ben Pol amefanikiwa kuingia katika Kili Tanzania Music Awards 2012, ngoma yake My Number 1 Fan ipo ndani ya category Wimbo Bora wa R&B. Kumpigia kura tuma SMS yenye neno H1 kwenda namba 15747
Sikiliza My Number 1 Fan hapa chini