Burudani

Ben Pol apanga kuachia single mpya ‘soon’

Ben Pol hataki kuachia nafasi. Wakati akiendelea kufanya vizuri na Jikubali, staa huyo anajiandaa kuachia single mpya hivi karibuni.

BOLW6qgCMAAnUUW

Ben Pol ambaye weekend hii alikuwa Mbeya kwenye Kili Music Tour, ametoa taarifa hiyo kupitia Twitter.

“I’m about to release a new record, si kwa sababu kila mtu sasa anatoa wimbo mpya, bali ni kwa sababu hesabu zangu zimeniletea jibu la sasa,” ameandika.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents