Burudani

Ben Pol kuachia single mpya ‘Jikubali’ weekend hii

ben pol (600x600)

Baada ya kusumbua kwenye radio na Pete, muimbaji wa R&B na mkali wa viitikio nchini, Ben Pol, anatarajia kuachia single mpya iitwayo Jikubali.Ngoma hiyo inatarajiwa kuachiwa weekend hii.

Kwa mujibu wa watu walioisikia ngoma hiyo, Jikubali ni wimbo utakaofanya vizuri mwaka 2013.

“ILE NGOMA NILIOITABIRIA KUJA KUWA “ANTHEM YA VIJANA TZ” kwa mwaka huu na miaka ijayo kutoka kwa BEN POL…kwa mujibu wa habari za ndani…ni kwamba ITASKIKA HEWANI….JANUARI 19……JIKUBALI ndio jina la wimbo……JIKUBALI ndio kauli mbiu ya mwaka 2013….je, unajikubali mzeiyah,” ameandika Nchakalih.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents