Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Ben Pol kushoot video ya ‘Sophia’ Dodoma

Ben Pol ataifanyia video ya wimbo wake ‘Sophia’ mjini Dodoma.

ben3

Akiongea na 255 ya Clouds FM, Ben amesema shughuli hiyo itaanza hivi karibuni.

“Video ya wimbo wa Sophia nitaifanyia mkoani Dodoma kwakuwa uamuzi huo unatoka na ujumbe ambao uko kwenye wimbo huo ambao unahitaji mazingira ya uhalisia zaidi yanayopatikana mkoani humo,” alisema. “Kila kitu kipo sawa ila bado sijajua nitashoot na director gani.”

Related Articles

Check Also

Close
Bongo5

FREE
VIEW