Michezo

Benjamin Pavard atangazwa mshindi wa goli bora la kombe la Dunia 2018

Benjamin Pavard atangazwa mshindi wa goli bora la kombe la Dunia 2018

Mchezaji wa timu ya taifa ya Ufaransa, Benjamin Pavard ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya goli bora kwenye michuano ya kombe la dunia iliyomalizika nchini Urusi.

Benjamin Pavard amefunga bao hilo kwenyemchezo dhidi Argentina raundi ya 16 kwenye michuano hiyo iliyomalizika Julai 15 mwaka 2018.

Timu ya taifa ya Ufaransa iliibuka mabingwa wa michuano hiyo baada ya kuifunga Croatia kwa jumla ya mabao 4 – 2 kwenye mchezo wa fainali.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents