Burudani

Benjamini kuwakusanya 20% na Baghadad

benjamini_face

mwanamuziki Benjamini wa Mambo jambo amesema wimbo wake wa My Friend anataka kuutoa upya huku akimshirikisha mkali wa Bongo Fleva aliyejizolea Tuzo tano, Abas Kinzasa maarufu kama 20%  kutoka FAM Boys na mtu mnene toka Maxicana Lacavera  Baghdad, kwa pamoja  wanaungana ilikuikamilisha wimbo huo.

 

Benjamini anasema kuufanyia ‘Rhymix’ wimbo huo, ni kuonyesha mapenzi ya kweli kwa mashabiki wake, ambao anawapenda sana  kwakuwa wao ndiyo waliomfanya awe juu, na hata wimbo huo kuingia katika Kili Music Award.

benjamini

Anasema anawapenda sana wapenzi wake, na ndiyo maana akaamua kuchanganya radha iliatoe kitu cha uhakika.

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents