Habari

BET Awards: Rihanna apiga ‘bonge la stunt’ jukwaani (Video)

Ni kweli ama? Rihanna amewaacha watazamaji wa BET Awards 2015 waliokuwa wakiangalia live kwenye screen zao baada ya kumtupia lundo la hela Rais wa Vipindi wa BET, Stephen Hill.

rihanna-bets-inline

Tuzo hizo zimetolewa nchini Marekani, alfajiri ya leo kwa saa za Afrika Mashariki.

Baada ya kufanya hivyo mrembo huyo alipanda jukwaani kutambulisha kionjo cha video ya wimbo wake ‘Bitch Better Have My Money.’

Hata hivyo imebainika kuwa hiyo ilikuwa ni stunt tu kwaajili ya kupromote video ya wimbo wake huo.

1435551067_rihanna-bets-467

Baada ya hapo Rihanna alipost picha Instagram akiwa na Hill na kuandika, “We kissed and made up. #BETAwards What a night.”

11334599_892955627444427_515503046_n

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents