BurudaniVideos

Betrice ndani ya ‘Mapenzi Yako’ [Video]

[youtube]http://www.youtube.com/watch?v=dvhelH_hVNI[/youtube]

Video mpya ya mwanamuziki Betrice, ambayo anaonyesha uwezo wake kutoka THT. Bertrice ni mwanamuziki ambaye anasema amejaribu kuimba katika mtindo wa kiasili ili kuweza kuonyesha kwamba tamaduni zetu ni muhimu na kuna ulazima wa kuzitunza kama yeye alivyofanya. Video hiyo ameifanyia Makumbusho Kijitonyama, hebu angalia mazingira yanavyopendeza….

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents