Burudani

Beyonce awafanyia surprise kubwa mashabiki wake kupitia album ya ‘Lemonade’

Msanii maarufu wa muziki nchini Marekani, Beyonce ameachia amewafanyia suprise mashabiki wake duniani kwa kuachia album yake ya Lemonade kwenye mitandao ya kusambaza na kusikiliza nyimbo yote mikubwa ikiwemo Spotify, Amazon, iTunes na Apple Music.

Related image
Beyonce

Album hiyo iliyotoka miaka mitatu iliyopita, awali ilikuwa inapatikana kwenye mtandao mmoja tu wa TIDAL ambao unamilikiwa na mumewe Jay-Z .

Kwa sasa mashabiki duniani kote watakuwa na urahisi wa kusikiliza Album hiyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents