Burudani

Beyonce kupiga show ya kwanza tangu Kujifungua!


Kambi ya Beyonce aka Mama Blue Ivy imetangaza kurudi kwa msanii huyo kupiga shows ikiwa ni karibia mwaka tangu kupiga show yake ya mwisho kutokana na ujauzito.

Bey ambaye mtoto wake ana miezi mitatu sasa, ametangaza kupiga show zake za kwanza baada ya kujifungua, kwa siku tatu mfululizo mjini Atlantic City mwezi wa May.

Mafans wa Beyonce walikusanyika Times Square New York kushangilia kurudi kwa mwimbaji huyo stejini huku wakisikia wakiimba hits za Beyonce kama ‘Party’ na ‘Irreplaceable’.

Concert hizo zitajulikana kwa jina la ‘Back To Business’

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents