Burudani

Bifu la Nicki Minaj na Remy Ma hatumwi mtoto dukani

Bifu la Nicki Minaj na Remy Ma linazidi kuchukua sura mpya kila kukicha.

Jumamosi hii wakati wa show ya Hot 107.9 Birthday Bash mjini Atlanta, Nicki alitumbuiza wimbo wa Make Love akiwa na Gucci Mane ambapo baadhi ya mashairi ya wimbo huo yanamdiss Remy.

Haikuishia hapo, malkia huyo wa Young Money, aliimba wimbo wa No Frauds akiwa na Lil Wayne. Hiyo imekuwa ni kama ngoma droo kwani siku chache zilizopita Remy alitumbuiza kwenye tamasha hilo na kumchana vibaya Minaj kupitia wimbo wake wa ‘ShETHER’.

Hata hivyo Remy Ma ameonyesha kukasirishwa na kitendo hicho na kuamua kujibu mashambbulizi kupitia mtandao wa Instgram, “Wait. I know ni**as is not out here trying to act like we was all in the same building and you acting all tough and hardcorial. First of all, nobody even looks at you like that. Do you know that nobody believes that you’re tough like that? Stop. It’s actually painful to watch.”

“Everybody knows I’m still on papers & I really be on some chill sh*t; perhaps that’s why b*tches out here ‘FRAUDing,’” she wrote, before typing out several hashtags about their beef, including #WhyYouFrontingLikeYouDidSomething, #YouWaitedTilHoursAfteriLeft #LikeUAlwaysDo, and #StopMentioningFelonsTilThatALLEDGEDPedophileGetOfTrial,” amesongeza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents