Habari

Big Brother Africa: Nando wa Tanzania aonyesha interest ya watoto wazuri mjengoni

Aaaaaah Nando! Handsome Nando anaeiwakilisha Tanzania juzi (May 28) alimwomba kaka mkubwa (big brother) kuwa anahitaji wasichana wengi pembeni yake. Je! hiyo inamaanisha home boy’s game plan ni ‘beautiful chicks? Labda!! Nando ameanza kuitumia game plan yake kwa kuchill na mtoto mzuri Dillish kutoka Namibia ambao walikuwa na romantic moment katika ‘jacuzi’ huku wakiongea taratibu. Tazama video hapo ndani

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents