Lifestyle
Bilionea Laizer :Fedha nilizopata ntajenga Mall Arusha kwa ajili ya familia yangu
“Nimejenga madarasa mawili, lakini pia pesa niliyoipata nataka kufanya maendeleo, nataka kujenga ‘Mall’ Arusha kwa ajili ya familia, kujenga shule, nimefarijika sana” Bw. Saniniu Laizer Bilionea Mpya wa Madini.
Bilionea wa madini ya Tanzanite akieleza kwa undani atakavyozitumia pesa alizozipata baada ya kuuza madini mawili yenye dhamani ya zaidi ya bilioni 7 baada ya kuiuzia Serikali madini hayo. (📹 via Swahilitimes) written by @Ally46385520 pic.twitter.com/5oQABOAWfg
— bongo5.com (@bongofive) June 25, 2020