Michezo

Bingwa wa mbio za Pikipiki apata ajali Mbaya ya gari

Muendesha Pikipiki mashuhuri nchini Marekani, Nicky Hayden, amepata ajali, baada ya kugongwa na Gari alipokuwa akifanya mazoezi ya kuendesha pikipiki yake.

Bingwa wa dunia wa mchezo huo amesema kuwa ajali hiyo imetokea maeneo ya magharibi mwa Rimini, Hayden, alikuwa nchini Italia na kwa sasa amefikishwa hospitali ya jamii iliyopo karibu namaeneo hayo kwa matibabu zaidi.

Habari inaeleza kuwa Mchezaji huyo wa Pikipiki ameumia zaidi maeneo ya kichwani pamoja na kifuani na hivyo yupo katika hali mbaya, Pikipiki ya dereva huyo imekutwa kando ya

And Hayden, mwenye umri wa miaka 35 amewahi kushinda ubingwa wa Mchezo wa kukimbiza Pikipiki ‘MotoGP ‘ mwaka 2006.

BY HAMZA FUMO

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents