Burudani

Binti wa Jackie Chan’s akiri kushiriki mapenzi ya jinsia moja

Mtoto wa muigizaji nguli wa filamu  duniani Jackie Chan, Etta Ng amekiri mbele ya media kuwa anashiriki mapenzi ya jinsia moja.

 

Etta Ng mwenye miaka 18, amekiri  kufanya hivyo na  rafiki yake Andi Autumn, waliokutana katika mtandao wakijamii wa  Instagram.

Baada ya kukiri kushiriki mahusiano hayo, binti wa muigizaji huyo aliamua kutumia mtandao wa Instagram kushukuru wanaomsapoti licha ya kuwa media za Hong Kong wanashutumu kufanya kitendo hicho.

 

Mtoto wa Jackie Chan (kulia ) Etta Ng akiwa na mpezni wake Andi Autumn (kushoto)

“I am in awe at the amount of support and love poured my way, I am speechless at how followers went to my Girlfriend @andiautumn and my account to show us both so much positivity. People all over the world have been rooting us on as Hong Kong media continues to mock. I’ve grown up in a world of negativity and close-mindedness but I am at that point where I realise that I can use my experience to tell my truths and help others just like me. Thankfully I’ve grown since the days I was powerless and uncertain what the world has for me. Thank you for the enormous outpour of love and acceptance. ?❤️???? … #loveislove #lovewins #lovealwayswins … #love #support … #queer #gay #gaygram #loveyourself #advocacy.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents