Burudani

Blac Chyna achanwa katika ngoma na Ex wake

Blac Chyna anaendela kupokea kichambo kutoka kwa  mpenzi wake wa zamani  rapper  Pilot Jones.

Muimbaji huyo amemchana Chyna kupitia ngoma yake mpya ya ‘Flossin’ na tayari video imeanza kutengenezwa na model ni AzMarie Livingston.

Katika mistari ya ngoma hiyo Pilot amesema kuwa amekuwa mtu mzuri bila BC…. na sio mtu ambaye ana mambo mengi kwa sasa, katika ngoma hiyo cha kuvutia  amemtaja dhahiri shahiri mrembo huyo kuwa  alimfanya atamani  kujiua kwa kukosa penzi lake, lakini sasa amekuwa mtu mzuri.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents