Burudani

Blac Chyna ajerea mtandaoni baada ya video yake ya ngono kuvuja

Mwanamitindo mwenye mbwebwe na tashititi zake Blac Chyna, amerejea mtandaoni na kuamua kupiga mkwara mzito kwa mashabiki zake.

Chyna aliyekubwa na balaa la kuvujishiwa mkanda wa ngono ambao unadaiwa alikuwa na mpenzi wake wa zamani Mechie, amerejesha na kishindo katika mtandao wa kijamii wa Instagram kwa kuachia picha zake na kupiga mkwara wa kufunga comment.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents