Michezo

Black Leopards ya Afrika Kusini kuwasili leo kwa mechi ya kirafiki na Yanga

leopards

Timu ya Black Leopards leo inaondoka nchini Afrika Kusini kuja jijini Dar es Salaam kwaajili ya mchezo wa kirafiki na Yanga utakaochezwa kesho kwenye uwanja wa taifa.

Timu hiyo itakuwa nchini kwa wiki moja ambapo baaadaye itaelekea Zanzibar kucheza na timu ya Super Falcon.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents