Burudani

Black Panther kurudisha heshima ya Lupita Nyong’o

Baada ya kuibua mjadala mzito katika mitandao kutokana na tukio la unyanyasaji wa kingono aliofanyiwa mwanadada Lupita Nyong’o na mtayarishashi wa filamu Harvey Weinstein, tutegemee kumuona mrembo huyo katika filamu nyingine ifikapo mwakani.

Lupita ambaye ameshawahi kunyakuwa tuzo ya Oscar mwaka 2014 kupitia filamu ya ’12 Years a Slave’ anatarajiwa kuoneka katika filamu mpya ya ‘Black Panther’ ifikapo mwezi wa pili tarehe 16.

Black Panther imewakutanisha wakali kama Chadwick Boseman, Michael B. Jordan, Martin Freeman, Everett K. Ross, Daniel Kaluuya na wengineo wengi.

https://youtu.be/yZ4xKXKQSww

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents