Burudani

Bob Junior anataka kumtoa Baraka

mr_chocoraate_face

Mwanamuziki na mtayarishaji wa muziki wa kizazi kipya Bob Junior ‘Mr Chocorate’ amesema hivi sasa anatarajia kumtoa kijana mpya katika tasnia ya muziki wa bongo fleva anayejulikana kwa jina la Mbaraka. amesema kijana ambaye anasoma kidato cha


kwanza Mwanza, amekuwa na uwezo wa juu hivyo anatarajia kufanya maajabu makubwa kwakuwa ni kawaida yake kutoa vipaji vipya na venye uwezo wa juu.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents