Burudani

Bob Junior aongeza vifaa vipya kutoka UK

Mr_Chocorate

Yule mkali wa mauono stejini, mkali wa kuimba na makali wa kutengeneza beat, kutoka Sharobaro Record Bob Junior ‘Mr Chocorate Frevour’ amesema kuanzia sasa studio yake itakuwa na ubora wa kisasa baada ya kununua vifaa vipya alipokwenda Uingeleza. ansema vifaa alivyonunua pamoja na Microphon, Headphone 6 ambalo ni toleo la Dr Dre inayotumia kwaajili ya Mixture mastar, na mashine nyingine ikiwemo kuongeza phone za kuimbia, kwaajili ya kufanya kazi nyingi kwa wakati mmoja.


Alisema safari hiyo alikaa zaidi ya mwezi mmoja ilikupata vifaa vya kisasa zaidi, ilikuweza kwenda sawa na hali harisi ya muziki wa sasa na kutoa vitu vya kutisha katika muziki huu.

studio_Mic

Mic tatu zikiwa sehemu moja, anasema hizo huweza kutumia watu hata wa bendi..

Studio_rna_Rameck

Rameck akionyesha moja ya kifaa alichorudi nacho Bob Junior kwaajili ya sound

Studio_Microphon_6

Boksi la picha ya Dr Dre lililotoka head phone 6.

Studio_mixture

Baadhi ya vifaa vipya vya muziki vilivyonunuliwa , vikipendezesha meza ambayo nayo ameirekebisha na kutengeneza kubwa na yakisasa.

Studio_Dr_Drey

 Moe One’s naye alikuwepo akijaribu kwa kutia ushahidi…

 

 

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents