Tupo Nawe

Bob Junior “Mimi ndio rafiki wa kweli wa Diamond, Nilikubali awe rafiki yangu kipindi hajawahi msanii mkubwa” – Video

Bob Junior "Mimi ndio rafiki wa kweli wa Diamond, Nilikubali awe rafiki yangu kipindi hajawahi msanii mkubwa" - Video

Msanii na mtayarishaji wa muziki hapa nchini Bob Junior amefuguka mengi sana kuhusu urafiki wake na msanii na pia C.E.O wa WCB Diamond Platnumz na kueleza kuwa “Yeye ndio rafiki mkubwa na rafiki wa kweli kwa Diamond Platnumz kwani alikubali awe rafiki yake tangia kipindi Diamond Platnumz hajawa msanii mkubwa kama hivi sasa”

Bob Junior aliongea hayo kipindi anafanya mahojiano na Bongo5 baada ya kupata mwaliko wa kwenda Kigoma kwenye kuadhimisha miaka 10 ya msanii huyu ambayo aliamua kwenda kuiadhimisha nyumbani kwao Kigoma.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW