Burudani

Bobbi Kristiana kurejeshwa nyumbani, matumaini ya kupona yafifia

Bobbi Kristina anarudishwa nyumbani baada ya matumaini ya kupona kufifia.

Bobbi-Kristina-Brown

Binti huyo wa Whitney Houston amekuwa mahututi hospitali tangu January mwaka huu baada ya kukutwa bafuni akiwa hajitambui.

Chanzo kimeuambia mtandao wa Radar Online:

“Wanapanga kumbakiza Georgia na pengine kumrudisha nyumbani.”

Hata hivyo baba yake, Bobby Brown anadaiwa kuupinga uamuzi huo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents