Burudani ya Michezo Live

Bocco awatangazia kiama waajiri wake wa zamani Azam FC, awapongeza mashabiki wa Simba SC (+Video)

Nahodha wa klabu ya Simba John Raphael Bocco amewapongeza na kuwashukuru mashabiki wa timu hiyo kwa mchango wao mkubwa walio uonyesha katika kipindi chote mpaka wao wanafanikiwa kutawazwa kuwa Mabingwa wa Ligi kuu Tanzania Bara.

Bocco amewatangazia kiama wapinzani wao Azam FC kwenye mchezo wao wa siku ya Jumatano dhidi wa michuano ya kombe la FA ambao Mnyama amepania kulichukua na kombe hilo kama ilivyofanya Ligi Kuu.

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW