Promotion

Boda Boda 370 na shilingi milioni 298 kushindaniwa bado katika ‘Timka na Boda Boda’

001 MSIMBAZI
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu(kushoto)akiwasiliana na mmoja wa washindi kati ya(60)waliojishindia Bodaboda na(24)wamejishindia fedha taslimu katika Promosheni ya “Timka na BodaBoda”ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544. Katikati ni Afisa huduma za ziada wa kampuni hiyo Rashid Maggid na kulia ni Msimamizi wa bodi ya michezo ya kubahatisha Bakari Abdallah

002 MSIMBAZI
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu(kushoto)akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa kuchesha droo ya promosheni ya Timka na Boda Boda

003 MSIMBAZI
Mshindi wa Promosheni ya”Timka na Bodaboda”Bw.Ernest Thawe,ambaye ni mfanyakazi wa Msimbazi Center kitengo cha ufundi wa bomba,akiesabu kitita chake cha shilingi 1,000,000 mara baada ya kuzitoa kwa njia ya M-PESA na kukabidhiwa na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu(kushoto)katikati ni Afisa huduma za ziada wa kampuni hiyo Rashid Maggid

004 MSIMBAZI
Mshindi wa Promosheni ya”Timka na Bodaboda Ernest Thawe,ambaye ni mfanyakazi wa Msimbazi Center kitengo cha ufundi wa bomba(kulia)pamoja na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu,wakiwaonesha ujumbe wa M-PESA wa shilingi 1,000,000 kwa waandishi wa habari aliotumiwa baada ya kujishindia kupitia promosheni hiyo toka makao makuu ya Vodacom

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents