Bongo MovieHabari

Bodi ya filamu yatoa taarifa juu ya sakata la filamu za nje

Bodi ya Filamu nchini imetoa taarifa juu ya habari zinazoendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu serikali kuzuia uingizaji, usambazaji na uuzaji wa filamu za kigeni nchini, kwa madai kuwa serikali ina lengo la kuwalazimisha wananchi kuziangalia filamu za ndani (bongo movie) kinyume na matakwa ya soko huria.

Hata hivyo bodi hiyo imekanusha taarifa hizo, kuwa sizo za kweli kupitia taarifa yake ifuatavyo:

Na Emmy mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents