Burudani

Bonang Matheba aacha kutangaza Metro FM

Bonang Matheba ameachana na kutangaza katika kituo cha redio cha Metro FM baada ya kufanya kazi kwenye kituo hicho kwa miaka mitatu.

Mrembo huyo ambaye ni mchumba wa rapper AKA amethibitisha kuacha kazi hiyo kupitia mtandao wa Twitter. Kupitia mtandao huo, Bonang amesema:

After 3 years of making magic on the Front Row, I can confirm that I have officially stepped down as the host of the show….. I will miss my Metro FM family dearly, as they say all good things do come to an end….Looking forward to the next chapter of my radio life.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents