BurudaniMichezo

Bonanza la mpira Leaders Club

Fiesta_face_to_face

Timu za wapenzi mbalimbali lepo ziolikutana katika uwanja wa Leaders Club kwaajiuri ya kusherehekea, katika tamasha la Serengeti, Fiesta Bonanza mwaka 2011, ambalo tamasha lenyewe la Fiesta litafanyika mnamo mwezi wa sita mwaka huu.

Katika Bonanza hilo mashabiki wa timu mbalimbali za Ulaya, walikusanyika na kuunda timu moja kutokjana na mapenzi ya timu hiyo, kasha na kucheza kwa lengo la kuleta buludani.  Wapenzi mbalimbali wa timu za Ulaya hapa nchini walijikusanya kutokana na jezi zao, na kasha kuunda timu na baadaye kupambana na timu nyingine kwa mujibu wa ratiba.

Hapa zifuatazo ni timu mbalimbali, ambazo wapenzi wake walikubali kujitolea kuvaa jezi na kuja kuwakilisha hapo Leaders, kiingilio ilikuwa jezi yoyote uliyoivaa na kama huna jezi basi mlangoni unaacha shilingi 3000.

Fiestawapiga_soka

Mpira ulizidi kunoga

 

Fiesta_Arsernal

Fiesta_Chales

Chalese ya Bongo nayo ilikuwepo  wakijisahaurisha na machungu

Fiesta_liver_pool

Wapenzi wa Liverpool ya Dar es salaam wakiwa katika picha ya pamoja ya kumbukumbu.

 

Fiesta_Luge

Ruge alikuwa beneti kuangalia timu yake ya Majogoo wa Liverpool, hapa sijui alikuwa anashangaa nini?

Fiesta_mpira

Chalese waliendelea kuwakomalia Real Madred wakitaka kufuta machozi yao, ambayo waliumizwa na Manchester, hakika buludani ilikuwa kubwa zaidi.

Fiesta_tunda_man

Tundaman naye alikuwepo akiendeleza kipaji chake cha ugoli kipa

Fiesta_watoto

Hawa nao walikuwepo sikujua walikuwa ni timu gani, maana wote walikuwa sehemu moja na wakishilia kila timu iliyofunga

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents