Bondia mtoto mwenye ndoto ya kuwa kama Floyd Mayweather, amkataa Mwakinyo, atoa sababu 3 (Video)

Weekend hii Bongo5 ilitembelea @new_mzalendo_fitness_gym na kukutana na mtoto Azizi ambaye anajifua ili aje awe kama bondia maarufu duniani Floyd Mayweather.

Azizi ambaye alianza kujifunza mchezo wa ngumi akiwa na umri wa miaka 9 amesema ana ndoto ya kuwa mpigaji mkubwa duiani huku akiiga mbinu mbalimbali za ujanja wa Floyd Mayweather.

Kwa nchini Tanzania, Azizi amesema anamkubali Bondia Ibrahim Classic huku akipinga uwezo wa Hassan Mwakinyo ambaye ndio bondia mwenye mafanikio kwa sasa nchini Tanzania.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW