Michezo

Bondia Selemani Bangaiza ‘Simba’ afunguka A – Z kilichomkuta Australia baada ya kupigwa K.O ya ajabu (+Video)

Mara baada ya kupoteza mbele ya Muaustralia, bondia wa Tanzania Selemani Bangaiza awaomba radhi Watanzania na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr Harrison Mwakyembe kwa matokeo hayo hasa pale alipojikuta akiinua mkono juu katika raundi ya pili tu, kuashiria kukubali kuachia ushindi kwa K.O rahisi. Mbali na mwanamasumbwi huyo mama mzazi naye ametoa la moyoni kuhusiana na matokeo hayo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents