Bongo Movie

Bongo Movie haikuwahi kupanda – Cloud

Msanii wa filamu Bongo,Cloud amesema tasnia ya uigizaji haijashuka kwa kuwa haijawai kupanda.

Cloud na mkewe

Amesema tasnia imekuwa ya mazoea wakati dunia wanafanya biashara na kuongeza kuwa tasnia ya filamu ni kitu kikubwa sana lakini Tanzania inafanyika bila uelewa.

“Hakukuwahi kupanda kwa sanaa ya Tanzania kwa sababu kwa tulizokuwa tukizifanya sisi ni sanaa ambazo zilikuwa hazina knowledge lakini dunia kote huwezi kuigiza bila kuwa na certificate ya kuigiza, hakuna mtu yeyote anayefanya kitu ndani ya sanaa bila kuwa amesomea” Cloud ameiambia TBC Fm.

“Sasa anaona kama sanaa inapanda waone kundi la Timamu, ni watu ambao wamekuja mapema sana na wanachipukia vizuri, mtu ambaye yupo nyuma yao (Tiko) amesoma hata anapokuwa anawapa vitu anawapa vitu ambavyo anavijua,” ameongeza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents