Burudani

Bongo Zozo atangaza ‘Bifu’ na Harmonize, amtaja Diamond Platnumz ”Ujumbe wa Samatta niliwatafsiria waandishi” (+Video)

Shabiki wa timu ya aifa ya Tanzania aliyejizolea umaarufu nchini, maarufu kama Bongo Zozo amefunguka mengi kuhusu historia yake binafsi, ushabiki wake kwa Taifa Stars lakini pia amedai anatangaza bifu na msanii wa muziki nchini Hrmonize kwa kile alichodai mashabiki kumkimbilia nyota huyo na kumwacha peke yake huku akimtaja Diamond Platnumz hakumtaja kwenye wimbo wake.

Bongo Zozo amesema Ujumbe wa Samattaagoal77 aliwatafsiria baadhi ya vyombo vya Habari Uingereza baada ya kumtaka kufanya hivyo na huku akiwahasa Watanzania kuacha kumuandikia ujumbe mkali kwenye akaunti ya klabu ya Aston Villa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents