Bongo5 Exclusives

Bongo5 Exclusive: Amini Afunga Ndoa

Msanii wa THT Amini, anayejiandaa kuangusha nyimbo yake mpya kwenye soko mapema mwezi ujao, amejiandaa vilivyo kwa ujio wake mpya ambao unahusisha video mpya ambamo yeye anafunga ndoa na mpenzi wake huku akimuimbia ‘Ni Wewe’.

Katika mahojiano na Bongo5, Amini amesema ndoa ni hatua muhimu sana na ameona inafaa kuhusisha wimbo wake huo wa ‘Ni Wewe’ kusisitiza Mapenzi yakukiri kwa ndoa.

Kuhusundoa yake yeye mwenyewe, amesema Bado yupo yupo kwanza. Mchizi anapiga mzigo wa muziki kwanza, issue zikikaaa freshi, basi itakua haina pingamizi suala hio.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents