Michezo

#Bongo5Updates: Yanga watangaza kikosi cha maangamizi kitakachowapa ubingwa leo dhidi ya Toto Africans

Klabu ya Yanga leo itavaana na Klabu ya Toto Africans ya jijini Mwanza kwenye uwanja wa Taifa, mchezo ambao endapo Yanga wakishinda watatangazwa ubingwa huku wanajangwani hao wakimkosa kiungo wao mshambuliaji Simon Msuva baada ya kupata majeruhi wikiendi iliyopita dhidi ya Mbeya City.

Kikosi cha Yanga

1. Beno Kakolanya
2. Hassan Kessy
3. Haji Mwinyi
4. Kelvin Yondani
5. Vincent Bossou
6. Thaban Kamusoko
7. Juma Mahadhi.
8. Haruna Niyonzima
9. Amisi Tambwe
10. Obrey Chirwa
11. Geofrey Mwashuiya
Akiba
Deogratius Munishi

Juma Abdul

Nadir Haroub

Matheo Antony

Deusi Kaseke

Emmanuel Martin

Justine Zulu.

By Godfrey Mgallah

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents