Burudani

Bono awakutanisha Diamond, D’Banj, Banky W, Waje kufanya remix ya ‘Strong Girls’ ya One Campaign

Muimbaji wa kundi la rock la U2 na mwanzilishi wa One Campaign, Paul David Hewson maarufu kama Bono amewakutanisha wasanii wa Afrika wakiwemo Diamond, Banky W, D’Banj, Omotola, Waje na wengine kutengeneza remix ya wimbo ‘Strong Girls’ ambao ni sehemu ya kampeni hiyo.

11881737_112514185768710_997788587_n
D’Banj, Diamond na Banky W

Mastaa hao wamekutana jijini Lagos, Nigeria.

11348254_555648061254762_1721739589_n (1)

Katika picha hiyo ya juu aliyoweka Banky W kwenye Instagram ameandika: Lol.. how cool is it to be photo-bombed by BONO? emojiemoji @diamondplatnumz @officialwaje bigups to @onecampaign for the “strong girl” remix project we are all working on.”

11887129_831045230328157_414744859_n
Kutoka Kushoto: Waje, D’Banj, Omotola, Bono na Diamond

Awali wimbo Strong Girls uliimbwa na wasanii wa kike tu wakiwemo Vanessa Mdee na Victoria Kimani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents