Michezo

Bosi wa FIFA chini ya uangalizi mkali kwa tuhuma za rushwa

Kufuatia tuhuma za rushwa zinazomkabili mkuu wa zamani wa shirikisho la soka la Amerika ya Kusini, Nicolas Leoz jaji mmoja nchini Paraguay ameruhusu upelelezi dhidi yake.

Leoz anatuhumiwa kupokea rushwa ili kuiruhusu Qatar kuandaa kombe la dunia mwaka 2022, ametajwa na mahakama moja nchini Marekani kuwa ni miongoni mwa watuhumiwa wa kubwa.

Bosi huyo wa zamani wa FIFA amekuwa chini ya uangalizi mkali nyumbani kwake Asuncion Paraguay. Anatuhumiwa pia kupokea Leoz anasema tuhuma hizo ni za uongo huku mwanasheria wake akiapa kukata rufaa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents