Michezo

Bosi wa kampuni ya Nike ajiuzulu nafasi yake

Hatimaye mwenyekiti wa bodi ya kampuni ya utengenezaji wa vifaa vya michezo, Nike na mwanzilishi wa lebo hiyo, Phil Knight ametangaza rasmi kujiuzulu kwenye wadhifa wake huo

phil-knight-nike_copy_jnwf1k

Habari za ndani zimedai kuwa moja ya sababu zilizomfanya ajiuzulu kwenye nafasi yake hiyo ni umri wake wa miaka 78 huku nafasi hiyo ikitajwa kuchukuliwa na Mkurugenzi mkuu wa wa kampuni ya Apple, Mark Parker.

Baada ya Mark Parker kutajwa kuchukua nafasi hiyo alisema, “Phil’s impact on Nike is immeasurable,” …… “His entrepreneurial drive is and always will be part of our DNA. Along with Nike’s exceptional management team, I am committed to leading our next era of innovation and growth as we serve and inspire athletes throughout the world.”

Phil ni mmoja kati ya watu wanaotajwa na jarida la Forbes kuwa matajiri zaidi duniani akiwa na utajiri wa dola bilioni 25 amepanga kugawa pesa zake kwenye kusaidia watu wanaoishi kwenye mazingira magumu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents