Burudani

Boss Lady Huddah Manroe wa Kenya kuhost party ya ‘Mid Year Bash’ weekend hii jijini Dar es salaam

Well, well, well, baada ya kumshuhudia kupitia Big Brother Afrika (japo kwa siku 7), na wengine kusoma habari zake nyingi mtandaoni sasa star kutoka 254 mrembo Huddah Manroe kutua bongo wiki hii.

huddah3

It’s Obvious BBA ni mlango wa mafanikio hata kwa wale ambao hawakuweza kushinda au kufika fainali, sababu macho ya wa Afrika yameuona uwezo wa kila mshiriki hivyo baada ya kutoka ni dhahiri kwamba milango ya deals za kuwaongezea kipato huongezeka .

Mfano hai ni wa mshiriki Huddah Manroe kutoka Kenya ambaye kukaa kwake siku 7 tu kumemuongezea umaarufu mara dufu, kiasi cha kumpa interviews kama mvua kutoka pande mbalimbali za Afrika baada ya kutolewa BBA, kama alivyotweet baada ya kurejea Kenya.

Huddah

Wiki hii Boss Lady Huddah anategemea kuja Tanzania ambapo atahost party ya ‘Mid Year Bash’ itakayofanyika Elements Jumamosi ya (June 29) jijini Dar es Salaam.

Jina la Huddah lilianza kupata umaarufu Tanzania kabla hajaenda kushiriki katika ‘The Chase’, baada ya kuwa na ‘beef’ ya twitter na mtangazaji maarufu wa Clouds FM Diva Loveness Love iliyomhusisha rapcellency Prezzo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents