Boston Celtics walionja joto la Miami!

Alfajiri ya leo kwa saa za Afrika Mashariki kulikuwa na mechi ya kikapu live kati ya Miami Heat na Boston Celtics ambayo ni fainali ya kanda ya mashariki ya ligi ya NBA (Eastern Conference)

Katika fainali hiyo Miami Heat imewaonesha kuwa Boston Celtics wanahitaji kurudi shule kwanza kujifunza tena kikapu kwa kuwatandika vikapu 101-88.

Nyota wa mchezo huo alikuwa ni Lebron James wa Miami aliyefunga pointi 31 na rebounds 12 akifuatiwa na Dwyane Wade aliyefunga pointi 23 na rebounds 6 na Chris Bosh amefunga pointi 19 na rebounds 8.

Kwa ushindi huo Miami Heat itakutana na washindi wa kanda ya magharibi Oklahoma City Thunder kwenye fainali za NBA mwaka 2012.

Baada na wakati wa mechi hiyo watu maarufu wa hapa nchini na kwingineko walionesha mapenzi kwa mchezo huo maarufu nchini Marekani na hizi ni miongoni mwa tweets:

“The King at the rim again…”we going to the finals ma ninja!!!” (Steve Kabuye)

@michaelbaruti Miami going to the finals….say something, BIATCH!!!!

#MIAMIHEAT #WETHEBEST (DJ Khaled)

Soooo happy for #MiamiHeat!!! Now I’m off to @vegasmagazine party tonight! Meet me at the pool!!! (Kelly Rowland)

Bye Celtics..hehehe (MwanaFA)

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents