Muziki

Brand New: Chidi Benz & Nonini – Get Down (Hot)

King Kong, Chidi Benz na Godfather wa Genge, Nonini wanakuja na ngoma yao pamoja, Get Down. Kwenye ngoma hii Chidi anasikika akirap kuhusu kuwahi kupigika na issue yake ya madawa, huku Nonini akiwakumbusha rappers wapya waache kujiita mastaa wakati hawajavuka boda. Haina ubishi, Get Down ni kali.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents