Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Brand New Video: Ben Pol – Jikubali (Official Music Video)

Ladies and gentlemen ile video ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu kutoka kwa Ben Pol ‘JIKUBALI’ hatimaye iko hewani. Mara ya kwanza ilikuwa itoke June 1, lakini ikaahirishwa kutokana na msiba wa Ngwea.

http://youtu.be/DRGNmDNe38A

Video imetengenezwa Arusha na director Nisher wa Nisher Entertainment, audio ilitayarishwa na Lucci wa Transformax studio.

Well, mimi tayari nina maoni yangu juu ya video hii, lakini nakupa nafasi uitazame kisha toa maoni yako hapo chini umeionaje, na unai grade vipi?

Enjoy!

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW